Saturday, 10 December 2011

KUPATWA KWA MWEZI (LUNAR ECLIPSE)

Mwenye macho........................!

Wenzetu waliopo America (kaskazini) , Australia na Asia watafaidi kuona kupatwa kwa mwezi jioni ya leo kwa muda wa dakika 51,  na tukio lingine kama hili litatokea mwaka 2014

Si tunakumbuka somo Jiografia (aka Geograpy) ,kwamba kupatwa kwa mwezi ni dunia inapokaa kati ya jua na mwezi, mimi nilisomea chini ya mti!

Kupata undani zaidi twanga link-  http://www.bbc.co.uk/news/science-environment-16116227

No comments:

Post a Comment