22:45 Arsenal 4 - 1 Wigan Athletic
23:00 Reading 0 - 2 Manchester City
NB: Saa za Afrika Mashariki
Baada ya kushinda kombe la FA, Wigan yashuka daraja, yaungana na Reading na QPR.
Arsenal imerudi ndani ya top 4, hatima kujulikana mechi ya mwisho siku ya Jumapili 19 May.
Msimamo, top 7 (point mabanoni): 1.Man Utd (88), 2.Manchester City (75), 3.Chelsea (72), 4.Arsenal (70), 5.Tottenham (69), 6.Everton (63), 7.Liverpool (58)
--------------------------------------------------------------------------------------------------------
Arsenal na Wigan, kusuka ama kunyoa?
Wigan inakwepa kushuka daraja, Arsenal inatafuta nafasi kwenye top 4, baada ya mechi hii ni one game to go, ni kuanda ama kuporomoka!!!
Baada Man City manager, Roberto Mancin kutimuliwa, watatoka vipi dhidi ya Reading?
Kesho: Fainali ya ligi ya Europa - Benfica v Chelsea
No comments:
Post a Comment