Sunday 19 May 2013

FUJO IRINGA MJINI, POLISI WAMTIA NGUVUNI Mh PETER MSIGWA

Ile kazi ya jeshi la polisi ya kupambana na wadai haki chini Tanzania imeendelea baada ya kusambaratisha Wamachinga mjini Iringa na kumtia nguvuni Mbunge wa Iringa Mjini, Mh. Peter Msigwa (CHADEMA) kwa tuhuma za kuchochea fujo.
 
Pichani: Kushoto, Mh Msigwa ndani ya gari lake akishangiliwa, Kulia: wananchi wakifuatilia kwa maandamano. 
 
Polisi nao walikuwa wakifuatilia msafara huo kwa nyuma kabla ya kuwasambaratisha wananchi kwa mabomu ya machozi na kuwakamata watu kadhaa akiwemo Mh Msigwa.
 

 
Pichani: Kushoto fujo na mabomu ya machozi yalirushwa na polisi (pichani juu) waliokuwa wakifuatilia msafara wa Mh Peter Msigwa.

'Freedom of expression is not an option but a MUST, no one can stop it' ukimyima mtu haki leo atadai kesho!!

No comments:

Post a Comment