Arsenal 1-0 Everton
Bolton 1-2 Aston Villa
Liverpool 1-0 QPR
Man Utd 4-1 Wolves
Norwich 4-2 Newcastle
Swansea 2-0 Fulham
Westbrom 1-2 Wigan
NB: Mechi zote zitaanza 18:00 (saa za Afrika Mashariki)
-Arsenal inasherehekea miaka 125 (http://www.arsenal.com/news/news-archive/arsenal-statues-picture-special ), wakifungwa itakuwa aibu kubwa!
- Man Utd wanaitaji ushindi kuondoa gundu la kutolewa mashindano ya UEFA Champions!
-Liverpool wanahitaji ushindi kuongeza matumaini ya kumaliza top 4!
-Nani atashinda ama nani atapoteza? tusubiri 90 zimalizike.
No comments:
Post a Comment