Sunday 29 April 2012

MASUMBWI - BERNARD HOPKINS APIGWA NA DAWSON

Hatimaye mkongwe wa masumbwi, Bernard Hopkins amepoteza ubingwa wa Light Heavyweight aliokuwa akiushikilia.

Chad Dawson ndiye bingwa mpya wa uzito huo baada ya kumshinda Hopkins kwenye pambano hilo la round 12 lililofanyika 28 April 2012, Atlantic City.

Dawson ameshinda kwa majority decision: 114-114, 117-111, 117-111


----------------------------------------------------------------------------------------------------------
Mpambano mwingine wa kukata na shoka Jumamosi,  05 May 2012- Floyd Mayweather v Miguel Cotto


No comments:

Post a Comment