Saturday, 10 December 2011

SANAMU ZA MAGWIJI WA TIMU YA ARSENAL ZIMEZINDILIWA


Katika kusherehekea miaka 125 ya timu hiyo, pamoja na mambo mengine wamezindua sanamu kwa walioweka historia na kuipa mchango mkubwa timu hiyo. Waliopewa heshima hizo ni manager wa zamani wa Arsenal Herbert Chapman, Tony Adams, na Thierry Henry

Kujua ilikuwaje ......

No comments:

Post a Comment