Sunday, 3 February 2013

MECHI ZA 03 FEB 2013 - LIGI KUU YA UINGEREZA

16:30 West Bromwich 0 - 1 Tottenham Hotspurs
19:00 Manchester City  2 - 2  Liverpool

NB: Saa za Afrika ya Mashariki

Man City na Liverpool zavutana mashati, Man Utd yapewa nafasi ya kupumua, Arsenal nayo yapata nafuu.

Tottenham inachanja mbuga, imefikisha point 45, nyuma ya Chelsea kwa point 1 na mbele ya Arsenal kwa point 4.

Msimamo wa top ten (point mabanoni): 1.Man U (62), 2. Man City (53), 3 Chelsea (46), 4.Tottenham (42), 5.Everton (42), 6.Arsenal (41), 7.Liverpool (36), 8.Swansea (34), 9.West Brom (34), 10.Stoke (30)

No comments:

Post a Comment