Wednesday 15 February 2012

MECHI ZA 15 FEB 2012 - UEFA CHAMPIONS LEAGUE

20:00 Zenit St Petersburb 3-2 Benfica
22:45 AC Milan 4-0 Arsenal

NB: Saa za Afrika Mashariki

Arsenal sio kwamba wamefungwa kwa bahati mbaya, bali hata uwezo wa kuchungulia lango la AC Milan awakuwa nao!

Na safu ya ulinzi aikuweza kuzuia miamba aka mijitu yenye misuli ya AC Milan wakati ikishuka kuelekea golini! 

Safari ya Arsenal imeishia kwenye last 16 kama sio kusubiri mechi ya marudiano kutimiza wajibu!  Uenda pia safari ya Arsenal kwenye kombe la FA itakuwa tete wanapo kutana na Sunderland jumamosi

Kesho: UEFA Europa Lague: Ajax v Man Utd, FC Porto v Man City ..........

No comments:

Post a Comment