18:00 Ivory Coast 1 - 2 Nigeria
21:30 Burkina Faso 1 - 0 Togo
NB: Saa za Afrika ya Mashariki
Nigeria na Burkina Faso zaingia nusu fainali.
Baada ya dk 90 kumalizika 0-0, Bukina Faso ilifanikiwa kupata bao dk ya 105 na kuipa Togo tiketi ya kwenda nyumbani.
Nusu fainali kuchezwa tarehe 06 Feb: Nigeria v Mali, Ghana v Burkina Faso
No comments:
Post a Comment