
Raia (mpiga kura) akipata kifungua kinywa katika eneo la SOKO KUU kwenye JIJI la Mwanza(picha na www.gsengo.blogspot.com )
Waheshimiwa sana awapati wala kujua shida hizi. Wao wanalipwa mishahara minono, wanatuma dereva akafanye shopping tena kwa kutumia shangingi linalokunywa mafuta kwa kwenda mbele. Wanapata milo yao kwenye sehemu nzuri zenye viti na meza, sakafu safi, wahudumu kedekede, n.k
Gharama za matumizi hayo zinatoka kwenye malipo ya kodi wanazotozwa wavuja jasho akiwemo mpiga kura huyu mtiifu.
Haya ndio mafanikio ya sera za CCM, kidumu Chama cha....., zidumu fikra za ........! eh ehe ehhh its not funny!
No comments:
Post a Comment