Thursday 18 April 2013

Bi KIDUDE AZIKWA

Marehemu Fatma Baraka maarufu kama Bi Kidude amezikwa leo (18 April 2013) katika makaburi ya Kitumbi, Wilaya ya Kati  mkoa wa Kusini, Unguja.
 
Bi Kidude alifariki siku ya Jumatano, 17 April 2013 ambapo alikadiriwa kuwa na umri unaozidi miaka 100.
 
10 b94f4
Pichani kulia rais Jakaya Kikwete pamoja  na waombolezaji wengine wakiweka udongo kwenye kaburi alipozikwa Bi Kidude.
 
.. RIP Bibi xx

No comments:

Post a Comment