Kundi A
21:00 Equatorial Guinea 0-1 Zambia
21:00 Libya 2-1 Senegal
NB: Saa za Afrika Mashariki
-Zambia wametumia ugali vizuri kuhakikisha wameingia robo final kwa kuwanyuka wenyeji Eq.Guinea na kuleta matumaini kwa nchi za kusini mwa Afrika, Well done the Chipolopolo's!
-Libya wamejitahidi kushindi dhidi ya Senegal ingawa ushindi huo haukuwa na manufaa zaidi ya kujiwekea heshima.
Msimamo wa kundi ulivyo (point kwenye mabano): 1.Zambia (7),2.Eq Guinea (6), , Libya (4), Senegal (0).
-Zambia na Equatorial Gunea wameingia robo final,mechi zitakuwa tarehe 4 Feb,dhidi ya washindi (2nd & 1st) wa Kundi B.
-Libya na Senegal wamefunga virago wakaangalie mechi wakiwa nyumbani kama wenzao Taifa Stars, ahhhh ahhh!
No comments:
Post a Comment