16:30 Manchester City 2 - 1 Tottenham Hotspurs
18:00 Newcastle United 0 - 1 West Ham United
19:00 Chelsea 1 - 1 Liverpool
NB: Saa za Afrika Mashariki
West Ham yashinda na kusogea toka nafasi ya 9 mpaka nafasi ya 6.
Top 10 ilivyo (point mabanoni): 1.Man Utd (27), 2.Man City (25) 3.Chelsea (24), 4.Everton (20), 5.West Brom (20), 6.West Ham (18), 7.Tottenham (17), 8.Arsenal (16), 9.Fulham (16), 10.Newcastle (14).
----------------------------------------------------------------------------------------------------
Zamu ya Chelsea na Man City kujizatiti. Liverpool ipo nafasi ya nafasi ya 13 ikiwa na point 11, kupata point 3 ni zawadi kubwa.
Newcastle na West Ham utd mojawapo ikiibuka na point 3 ni kuongeza pressure kwa Arsenal na Tottenham.
No comments:
Post a Comment