Saturday, 10 November 2012

OBAMA ALIPOTOKWA MACHOZI AKIISHUKURU KAMBI YAKE YA UCHAGUZI

Ndoto ya Baraka Obama ya 'making a defference' ilianza akiwa na miaka 25, amefanikiwa kuingia White House kwa awamu ya pili, miaka minne itamwezesha kutimiza ndoto yake.

Obama aliwashukuru wanacampaign wake Chicago, hata hivyo alishindwa kujizuia kutokwa na machozi....

No comments:

Post a Comment