Saturday, 17 November 2012

MECHI ZA 17 NOVEMBER 2012 - LIGI KUU YA UINGEREZA

15:45 Arsenal 5 - 2 Tottenham Hotspurs
18:00 Liverpool 3 - 0 Wigan Athletics
18:00 Manchester City 5 - 0 Aston Villa
18:00 Newcastle United 1 - 2 Swansea
18:00 Queens Park Rangers 1 - 3 Southampton
18:00 Reading 2 - 1 Everton
18:00 West Bromwich 2 - 1 Chelsea
20:30 Norwich City 1 - 0 Manchester United

NB: Saa za Afrika Mashariki

Wakati Man Utd bado aijasahau ushindi dhidi ya Arsenal, Norwich yaikumbusha ule usemi wa 'ukiua kwa upanga.....'

Wakati Chelsea yacheza mduara wa kinyumenyume, Liverpool yacheza kwenda mbele!

Man City kushinda mpaka lini? Yapanda kuleleni.

Arsenal yaondoa gundu kwa kuisambaratisha Tottenham na kupanda kwa muda toka nafasi ya 8 mpaka ya 6. (Jumatatu West Ham ikishinda dhidi ya Stoke nafasi hii itabadilika).

Top 8 ilivyo (point mabanoni) - 1.Man City (28), 2.Man Utd (27), 3.Chelsea (24), 4.West Bromwich (23), 5.Everton(20), 6.Arsenal (19), 7.West Ham (18), 8.Tottenham(17) 

Kesho: Fulham v Sunderland

No comments:

Post a Comment