Saturday 23 June 2012

MECHI ZA 23 JUNE 2012 - UEFA EURO 2012

21:45 Spain 2-0 France

NB: Saa za Afrika Mashariki

Spain kucheza na Portugal kwenye nusu fainali.

Baada ya kuipatia Spain goli la kichwa na la kwanza kwenye dakika ya 19, Alonso kwa mara nyingine tena akaifungua Spain bao la pili kwa njia ya penalty katika dakika ya 90, na kuwadhihirishia France kwamba safari imefika mwisho.

Nusu fainali ya Portuga v Spain itachezwa Jumtano, 27 June 2012


------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Kati ya wababe hawa nani mbabe zaidi? Mshindi wa mechi hii atapambana na Portugal siku ya Jumatano, tarehe 27 June 2012. 

Kesho: England v Italy


No comments:

Post a Comment