Tuesday, 24 April 2012

MECHI ZA 24 APRIL 2012 - LIGI KUU YA UINGEREZA

21:45 Aston Villa 1-2 Bolton

NB: Saa za Afrika Mashariki


Bolton wanaelekea kujitoa kwenye dimbwi la kushuka daraja. Ushindi huu wamefikisha point 33 na kupanda nafasi moja juu (18) wakiwa na mechi moja ya ziada.

No comments:

Post a Comment