Saturday, 7 April 2012

MECHI ZA 07 APRIL 2012 - LIGI KUU YA UINGEREZA

14:45 Sunderland 0-0 Tottenham
17:00 Bolton 0-3 Fulham
17:00 Chelsea 2-1 Wigan
17:00 Liverpool 1-1Aston Villa
17:00 Norwich 2-2 Everton
17:00 W'Bromwich 3-0 Blackburn
19:30 Stoke City 2-1 Wolves

NB: Saa za Afrika Mashariki 

Msimamo wa topten ulivyo (point mabanoni):-
1.M Utd (76), 2.M City (71), 3.Tottenham (59), 4.Arsenal (58), 5.Chelsea (56), 6.Newcastle(56), 7.Everton (44), 8.Liverpool (43), 9.Sunderland (42), 10.Fulham (42)


--------------------------------------------------------------------------------------------------
Tottenham itasogea kwenye nafasi ya 3 iwapo itapata angalau point moja.

Chelsea nayo itarudi kwenye nafasi ya 5 iwapo itashinda. Ushindi utaisogeza Chelsea kwenye nafasi nzuri ya kumaliza kwenye top 4 ili kucheza Ligi ya Machampion msimu ujao.

Liverpool wanayo kazi kubwa kujibandua kwenye janga la kutoshiriki hata Ligi ya Europa kama sio Ligi ya Machampion!

Kesho: M'Utd v QPR, Arsenal v M'City



No comments:

Post a Comment