Saturday, 7 April 2012

JOYCE BANDA ATEULIWA KUWA RAIS WA MALAWI

Baada ya kuthibitishwa kifo cha aliyekuwa rais wa Malawi Bungu wa Mutharika, sasa aliyekuwa makamu wake Joyce Banda ateuliwa kuwa rais.

Joyce Banda ameteuliwa kwa kufuata taratibu za katiba ya nchi hiyo.

Joyce Banda anakuwa rais wa pili mwanamke barani Afrika, baada ya rais wa Liberia.

No comments:

Post a Comment