Sunday 4 March 2012

MECHI ZA 04 MAR 2012 LIGI KUU YA UINGEREZA

15:00 Newcastle 1-1 Sunderland
17:05 Fulham 5-0 Wolves
19:10 Tottenham 1-3 Manchester United

NB: Saa za Afrika Mashariki 

Newcastle imedondosha point 2 muhimu na kuipa Chelsea na Arsenal nafasi ya kupumua.

Fulham yafanya karamu ya magoli

Man Utd bado inafukuzia ubingwa na kupumulia mgongoni mwa Man City, kwa tofauti ya point 2.

Tottenham inaendelea na mbio za kurudi kinyume nyume na kuikaribisha Arsenal nafasi ya 3

Top 7 na point zilivyo:
1.Man City 66, 2.Man Utd 64, 3.Tottenham 53, 4.Arsenal 49, 5.Chelsea 46, 6.Newcastle 44, 7.Liverpool 39

------------------------------------------------------------------------------------------------------
Newcastle ipo nafasi ya 6 na point 43, point tatu leo azitaleta mabadiliko kwenye nafasi waliyopo zaidi ya kuongeza matumaini ya kumaliza kwenye top four.

Sunderland nayo yenye point 33, kupata point tatu leo itasogea kutoka nafasi ya 12 mpaka ya 8, matokea kinyume na hayo ni kubaki nafasi ya nane.

Tottenham yenye point 53 ipo nafasi ya 3, ushindi leo ni muhimu ili kupunguza machungu ya kufungwa 5-2 na Arsenal  kwenye mechi iliyopita, pia kujizatiti kwenye nafasi hiyo ambayo ipo hatarini kunyakuliwa na Arsenal muda sio mrefu!

Man Utd iliyopo nafasi ya 2 na point 61 aka point 5 nyuma ya Man City. kushindwa kwa Man Utd leo itakuwa mwanzo wa sherehe kwa Man City kuchukua ubingwa wa msimu huu, jambo ambalo ni gumu kwa Man Utd.

No comments:

Post a Comment