Kundi B
21:00 Sudan 2-1 Burkina Faso
21:00 Ivory Coast 2-0 Angola
NB: Saa za Afrika Mashariki
Hongera Sudan kwa ushindi, Angola na Burkina Faso wametoka rasmi kwenye mashindano.
What a shame! Timu za Sudan na Angola zote ni fahari ya nchi za kusini mwa jangwa la Sahara, ni lazima moja itoke hili nyingine isonge mbele, Angola wamajitahidi.
Msimamo kundi hili (point kwenye mabano): Ivory Coast (9), Sudan (4) Angola (4), Burkina Faso (0)
Ivory Coast na Sudan zitacheza robo final tarehe 4 Feb (Ivory Coast v Eq Guinea, Zambia v Sudan).
Kesho ni kundi C: Gabon v Tunisia, Niger v Morocco
No comments:
Post a Comment