Tuesday, 31 January 2012

MECHI ZA 31 JAN 2012 - AFRICA CUP OF NATIONS

Kundi C
21:00 Gabon 1-0 Tunisia
21:00 Niger 0-1 Morocco

NB: Saa za Afrca Mashariki

Kundi hili halia mjadala, Gabon na Tunisia zimeshaingia robo final. Mechi za leo ni kutimiza wajibu na kujua ipi itakuwa ya kwanza na ya pili. Niger na Morocco zimeshatoka kwenye mashindano.

Gabon na Tunisia zinasubiri matokeo ya mechi ya kundi D (mshindi wa kwanza na wapili) ili kucheza robo final tarehe 5 Feb.

Msimamo ulivyo baada ya mechi ya leo (point kwenye mabano): Gabon (9), Tunisia (6), Morocco (3), Niger (0)

Mechi za kesho kundi D: Botswana v Mali, Ghana v Guinea

No comments:

Post a Comment