Tuesday 16 August 2011

UFISADI WIZARA YA NISHATI NA MADINI -NGELEJA, MALIMA WATAPONA?

Inaelekea kasheshe ya ufisadi Wizara ya Madini na Nishati itazoa wengi.

Wakati Jairo yupo likizo ya lazima kuruhusu uchunguzi ufanyike, uchunguzi unaofanywa na Katibu mkuu Philemon Luhanjo dalili zinaonyesha Ngeleja na Malima uenda walipata mgao wa 4m kilammoja.

Nahisi kama wizara zote zingechunguzwa, ingefahamika ni kiasi gani fedha za kodi za Watanzania zinavyotumika kinyume na mategemeo na ni kiasi gani wakubwa wanavyofuja fedha hizo , na pia njia zinazotumiwa kupitisha budget ambazo nyingi azijaleta manufaa kwa wananchi.

more - http://www.mwananchi.co.tz/component/content/article/37-tanzania-top-news-story/14560-kashfa-kwa-ngeleja-malima.html

1 comment: