Tuesday 16 August 2011

MAZOEZI (dk15) UONGEZA UMRI WA KUISHI KWA MIAKA MITATU

Watafiti nchini Taiwan wamegundua kwamba ufanyaji mazozei kwa dk15 kwa siku uongeza umri wa kuisha kwa miaka mitatu, na pia kupunguzo vifo kwa 14%. Makadirio ni kwamba ufanyaji mazoezi ni dk 90 kwa wiki.

Nchini Uingereza watu wanashauriwa kufanya mazoezi angalau dk150 kwa wiki, ambayo ni sawa na dk30 kwa siku tano

Nchini Australia wataalamu wamegundua kwamba kukaa tu na haswa kuangalia TV (couch potato lifestyle ) kwa masaa sita kunapunguza umri wa kuishi, sababu ikiwa ni kutokufanya mazoezi.

Hivyo watu wanashauriwa kufanya mazoezi angalau kwa dk15 kwa siku, haswa kulingana na shuguli tunazozifanya.

For more http://www.bbc.co.uk/news/health-14526853

No comments:

Post a Comment