Thursday 18 August 2011

TUHUMA KWA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII

Wizara ya maliasili na utalii imeshutumiwa na wabunge kwamba wizara hiyo ina matatizo ya:-
             -Ukabila
             -Vibali vya kukamata na kusafirisha wanyama pori nje ya nchi
             -Wanyama pori waliotoroshwa nje ya nchi kupitia uwanja wa KIA

Luhanjo analaumiwa kuendeleza ukabila idara ya wanyama pori. Nahisi haya ni machache, kwani kuna mengi yatakayoibuka bungeni.

pitia-  http://www.mwananchi.co.tz/component/content/article/37-tanzania-top-news-story/14621-wabunge-wamlipua-luhanjo-wa-ikulu.html


No comments:

Post a Comment