Hizi ni tetesi: Alimtushumu kuchochea mgomo wa wanafunzi wa chuo cha IAA na mwenzake akamshutumu kwa kutoa amri akamatwe na polisi. Alifikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka, kesi itarindima tena 29 May 2013.
08 May 2013: Pichani kushoto ni Mbunge wa Arusha Mjini, Mh Geobless Lema na mkuu wa mkoa Arusha, Magesa Mulongo (mwenye suti ya kijivu), wakiwa na Naibu Waziri wa Utalii, Lazaro Nyalandu (mwenye shati jeupe) wakikabidhi misaada kwa Daktari wa hospitali ya St Elizabeth mjini Arusha kwa ajili ya waathirika wa mabomu.
No comments:
Post a Comment