Sunday 19 May 2013

DAVID BECKAM ATOKWA MACHOZI, PSG WAMUAGA MECHI YA MWISHO UWANJA WA NYUMBANI

Wiki hii David Beckam alitangaza rasmi kustaafu kandanda mwisho wa msimu huu, ingawatimu anayochezea ya PGS imebakiza mechi moja kukamilisha msimu, washabiki wa PSG na wachezaji wenzake walimuaga rasmi baada ya kucheza mechi ya mwisho uwanja wa nyumbani.

Huku Familia yake wakiwa kama watazamaji uwanjani, Beckam alishindwa kuzuia machozi wakati wachezaji wenzake wamimuaga ............

 

No comments:

Post a Comment