Saturday 11 May 2013

TFF YAMTAKA SHAFII DAUDA KUTOA MAELEZO, KISA COPY & PASTE

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Leodgar Tenga amempa siku 7 mmiliki wa Shafiidauda.com kutoa maelezo ya jinsi alivyopata nakala ya barua ya FIFA.

19 February 2013, FIFA ilisitisha wa uchaguzi wa TFF uliokuwa ufanyike 23 / 24 February 2013, baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa baadhi ya wagombea.

Mojawapo mawasiliano kati ya FIFA na TFF ni barua iliyotumwa na FIFA 29 April 2013 kwenda kwa rais wa TFF, ikieleza hatua za kufuata ili kutatua mgogoro huo na kukamilisha mchakato mzima ifikapo 30 October 2013.

May 02 2013, Rais wa TFF, Leodgar Tenga alifanya mkutano wa waandishi wa habari (akiwemo Shaffi Dauda) na kusisitiza kwamba, si ruksa mtu mwingine kuwa na nakala ya barua husika zaidi ya watajwa, hivyo akawaruhusu waandishi kuisoma bila kuondoka nayo.

07 May 2013, Shaffidauda.com ikarusha nakala hiyo hewani, what next? Maelezo within 7 days...

Kuiona, twanga link  http://www.shaffihdauda.com/2013/05/exclusive-taarifa-halisi-ya-maagizo-ya.html

No comments:

Post a Comment