Saturday, 11 May 2013

MECHI ZA 11 MAY 2013 - LIGI KUU YA UINGEREZA

15:45 Aston Villa 1 - 2 Chelsea

NB: Saa za Afrika Mashariki

Chelsea imezama ndani ya top 4.

Ikiwa imebakiza mechi moja kufikia ukingoni ligi, Chelsea imekamilisha lengo muhimu la kumaliza ndani ya top 4, hivyo kujihakikishia nafasi ya kushiriki Ligi ya Mabingwa wa Ulaya msimu ujao.

Nafasi moja iliyobaki inapiganiwa na Arsenal na Tottenham, hatima yake ni kwamba timu mojawapo itamaliza nafasi ya 5 hivyo kuambulia nafasi ya kucheza Ligi ya Europa, kombe ambalo Chelsea inacheza fainali Jumatano, 15 May 2013.

Msimamo, top 7 (point mabanoni): 1.Man Utd (85), 2.Manchester City (75), 3.Chelsea (72), 4.Arsenal (67), 5.Tottenham (66), 6.Everton (60), 7.Liverpool (55)

-------------------------------------------------------------------------------------------------------
Baada ya kutoa sare ya 2-2 siku ya Jumatano, 07 May dhidi ya Tottenham, Chelsea inahitaji point tatu ili kuwa na uhakika wa kumaliza kwenye top 4, wataweza?

......Kwa mechi ya fainali za FA, angalia habari inayofuata hapo juu

No comments:

Post a Comment