Wednesday 8 May 2013

RAIS JK ALIPOTEMBELEA KANISA LA OLASITI KUWAPA POLE WANANCHI

Baada ya kusitisha safari yake ya siku mbili nchini Kuwait, rais Kikwete alirudi nchini na kuelekea Arusha ili kuwapa pole wafiwa na majeruhi wa mlipuko wa bomu.

Akizungumza na wananchi na katika kanisa la Mt Joseph, Olasiti  mjini Arusha, rais Kikwete alipongeza juhudi zilizofanikisha kukamatwa kwa watuhumiwa 9, na kuwataja baadhi kwa majina kuwa ni Joseph na David,  ..... kujua zaidi twanga link ....
  http://www.youtube.com/watch?v=FEorkcq5dio&feature=player_embedded 

No comments:

Post a Comment