Saturday, 11 May 2013

MECHI ZA 11 MAY 2013 - FAINALI YA KOMBE LA FA (UINGEREZA)

20:45 Manchester City 0 - 1 Wigan Athletic

NB: Saa za Afrika Mashariki

Ni Wigan, bingwa wa kombe la FA 2013.


Ndani ya dk za mejeruhi kabla ya kipenga cha mwisho, Wigan ikatoa kidonge kimoja tu, mfungaji akiwa Ben Watson na kuzima moto wa Manchester City.

-------------------------------------------------------------------------------------------------------
Baada ya kunyang'anywa ubingwa wa Ligi Kuu iliyopata msimu uliopita, sasa Man City inatafuta kikombe cha FA.

Wigan nayo iliyo kwenye hatihati ya kushuka daraja inahitaji kufa kibingwa, angalau kunyakua kombe la FA na kuwa kama motisha ya kucheza vizuri mechi mbili za ligi kuu zilizobaki na kibakia kwenye ligi kuu msimu ujao.

Ni dk 90, ama 120 au matuta kuamua? Ni Man City ama Wigan?

...Kwa mechi za ligi kuu angalia habari iliyotangulia hapo chini....

No comments:

Post a Comment