Wednesday 1 May 2013

MECHI ZA 01 MAY 2013 - UEFA LIGI YA MABINGWA, NUSU FAINALI

22:45 Barcelona 0 - 3 Bayern Munich

NB: Saa za Afrika Mashariki

Ni kweli Kwaheri Baca. Hiki ni kifo kitakatifu, bila hata bao la kufutia machozi!!!

Roben alifunga bao la kwanza dk ya 3 ya kipindi cha pili, na dk ya 72 Barcelona wakajifunga kupitia Pique kabla ya Muller kupachika bao la tatu dk 4 baadaye.

Fainali Bayern dhidi ya Dortmund ndani ya Wembley Stadium, 25 May 2013.

-----------------------------------------------------------------------------------------------------------
Mechi iliyopita Barcelona ilinyukwa 4 kwa mtungi, nini kitatokea ama ndio kwaheri Baca?

Kesho: Ligi ya Europa : Benfica v Fenerbahce, Chelsea v FC Basel

No comments:

Post a Comment