Tuesday 30 April 2013

MECHI ZA 30 APRIL 2013 - UEFA LIGI YA MABINGWA, NUSU FAINALI

22:45 Real Madrid 2 - 0 Borussia Dortmund

NB: Saa za Afrika Mashariki

Real yatolewa kibingwa, Borrusia yaponea kwenye tundu la sindano!

Mabao yalipatikana dk 7 na dk 2 kabla ya kipenga cha mwisho, kuona hivyo Borussia wakaanza mambo ya poteza muda na kuvuruga moto wa Real. Dortmund imeingia fainali kwa jumla ya ushindi wa 4-3.

Fainali ni 25 May 2013

--------------------------------------------------------------------------------------------------
Ni marudiano, mechi ya kwanza B' Dortmund iliifyatua Real Madrid kwa mabao 4-1, Real itafurukuta kwenye uwanja wa nyumbani?

Kesho: Barcelona v Bayern Munich

No comments:

Post a Comment