Wednesday, 6 February 2013

TAIFA STARS YAITOA JASHO CAMEROON, YASHINDA 1-0

Haya, wanasema 'Mcheza kwao........'

Taifa Stars imesafisha nyota kwa kupata ushindi wa 1-0 dhidi ya Cameroon kwenye mechi ya kirafiki iliyofanyika kwenye uwanja wa taifa, Dar es Salaam

Mrisho Ngasa (mwenye jezi ya blue) akidhibitiwa na mlinzi wa timu ya Cameroon Essou Ekotoo ambaye pia anachezea timu ya Tottenham ya Uingereza  

Wow, ilikuwa patashika nguo kuchanika!

Mbwana Samatha akiweka mpira kimiani na kuwaacha wachezaji wa Cameroon wakiduwaa!

No comments:

Post a Comment