18:00 Mali 1 - 4 Nigeria
21:30 Burkina Faso 4 - 3 Ghana
NB: Saa za Afrika ya Mashariki
Burkina Faso na Nigeria kukwaana fainali jumapili, 10 Feb.
Dakika 120 zilimalizika ikiwa 1-1, Burkina Faso ikaibuka mshindi kwa penalty 3 dhidi 2 za Ghana, huku Ghana wakikosa penalty 2 na B'Faso walikosa 1.
Ghana sio weupe tu bali awakustahili kucheza fainali kutokana na kiwango duni cha mchezo kulinganisha na Burkina Faso. Pamoja na kosakosa nyingi za Burkina Faso, kuna dalili za refa kuwabeba Ghana.
Mechi ya mshindi wa tatu, Jumamosi- 09 Feb: Mali v Ghana
Uingereza imeshinda 2-1 dhidi ya Brazil kweny emechi ya kirafiki.
No comments:
Post a Comment