TAZARA (Tanzania Zambia Railway Authority) inaunganisha mji wa Dar es salaam (Tanzania) na Kapiri (Zambia) ilianza kujengwa 1970 na kukamilika 1975. Inamilikiwa 50:50 kati ya serekali ya Tanzania na Zambia
Ilikuwa ndoto za waasisi, rais J.K.Nyerere wa Tanzania, K.Kaunda wa Zambia na Mao wa China.
Baada ya miaka 51 CCM ikiwa madarakani, reli hii bado inategemea wafadhili kujiendesha, mfadhili mkuu ikiwa nchi ya China inayotoa wataalamu na mikopo (intrest free). Too much spoon feeding and poor management!
Vyuo mbalimbali nchini vinatoa wataalamu kila mwaka lakini awapati nafasi za ajira, kwanini wataalamu hao wasipewe nafasi ya kuendeleza mashirika kama TAZARA badala ya kutegemea wafadhili kutuletea wataalamu na fedha?
No comments:
Post a Comment