Sunday 23 October 2011

KIPIGO CHA TEMBEZWA KWA MAN UTD NA CHELSEA

Wooow!

Hivi ni kweli kwamba malipizi ya dhambi ni hapa hapa duniani?

Man Utd waliwatwanga Arsenal 8-2 tarehe 28 Aug 2011. Lakini leo Man Utd wakiwa uwanja wa nyumbani wamejua machungu ya kufungwa baada ya kudundwa na Man City kwa mabao 6-1 na kupewa discount ya Red card moja!  Swali - nani atakaye mtwanga Man City- http://www.youtube.com/watch?v=3R9zF6EfQsA

Chelsea nayo imekuwa ikifurahia ushindi kila wakati, lakini leo imeonja joto ya jiwe baada ya kutunguliwa na QPR kwa 1-0, na kupigwa msumari wa Red Card mbili bila huruma.

Ahhh! Arsenal wamejichukulia point tatu leo na wamesonga nafasi ya saba, well done to them!

No comments:

Post a Comment