Monday 11 February 2013

MDAHALO WA KWANZA - WAGOMBEA URAIS KENYA

Huu ni mdahalo (presidential debate) wa kwanza kati ya miwili kwa wagombea urais nchini Kenya, kabla ya uchaguzi utakaofanyika 04 March 2013.

Awali ilitegemewa kuhusisha wagombea 6 na kutumia masaa mawili, lakini mabadiliko yalifanywa  na kuhusisha wagombea 8 kufuatia ongezeko la wagombea wawili, hivyo mdahalo kutumia zaidi ya masaa matatu.........
 
 

No comments:

Post a Comment