Tuesday, 2 October 2012

MECHI 02 OCT 2012 - UEFA LIGI YA MABINGWA (hatua ya makundi)

Kundi E
21:45 Juventus 1-1 Sharkhtar Donetsk
21:45 FC Nord 0-4 Chelsea

Kundi F
21:45 Valencia 2-0 Lille
21:45 BATE Borisov 3-1 Bayen Munich

Kundi G
19:00 Spartak Moscow 2-3 Celtic
21:45 Benfica 0-2 Barcelona

Kundi H
21:45 CFR Napoca 1-2 Manchester Utd
21:45 Galatasaray 0-2 Braga

NB: Saa za Afrika Mashariki 

Man Utd wakiwa bado uzingizini, Kapetanos akaifungia CFR bao la kuongoza dk ya 14, Man Utd nao wakazinduka na kusawazisha dk ya 29 ya kipindi cha kwanza, na bao la pili dk ya 4 ya kipindi cha pili mabao yaliyofungwa na Robin Van Parsie.

Mabingwa watetezi, Chelsea wamefanya sherehe ya magoli. Juan Mata alifunga la kwanza dk ya 3, na mabao mengine matatu yalipatikana ndani ya dk10 kabla ya kipenga cha mwisho: David Luiz dk ya 80, Mata dk ya 83, na Remires dk ya 90..
  
Kesho, Kundi A,B, C &D: Zenit St Petersburg v AC Milan, Ajax v Real Madrid, Anderlech v Malaga, Arsenal v Olympiakos, Dynamo Kiev v D Zagreb, FC Porto v Paris St G, Manchester City v Borusia Dortmund, Schalke 04 v Montpellier

No comments:

Post a Comment