22:00 QPR 1-2 West Ham United
NB: Saa za Afrika Mashariki
West Ham Utd imefikisha point 9 na kuchukua nafasi ya 7 na kuisogeza Arsenal nafasi moja chini a.k.a nafasi ya 8.
Msimamo ulivyo- top 8 (point mabanoni): 1.Chelsea(16), 2.Everton(13), 3.Man Utd(12), 4.Man City(12), 5.Tottenham(11), 6.West Bromwich(11), 7.West Ham(11), 8.Arsenal(9)
Jumanne na Jumatano: Uefa - Ligi ya mabingwa. Baadhi ya mechi: Benfica v Barcelona, CFR v Man Utd, FC Nord v Chelsea, nk.
No comments:
Post a Comment