Wednesday, 3 October 2012

MECHI ZA 03 OCTOBER 2012 - UEFA LIGI YA MABINGWA (hatua ya makundi)

Kundi A
21:45 Dynamo Kiev 2-0 D Zagreb
21:45 FC Porto 1-0 Paris St G

Kundi B
21:45 Schalke 04 2-2 Montpellier
21:45 Arsenal 3-1 Olympiakos

Kundi C
21:45 Anderlech 0-3 Malaga
19:00 Zenit St Petersburg 2-3 AC Milan

Kundi D
21:45 Ajax 1-4 Real Madrid
21:45 Manchester City 1-1 Borusia Dortmund

NB: Saa za Afrika Mashariki

Man City waponea kupoteza mechi kwa kusawazisha dk za mwisho kwa njia ya penalty, bao lililofungwa na Baloteli.

No comments:

Post a Comment