19:00 Zenit St Petersburg 1 - 0 Alderlecht
21:45 Ajax 3 - 1 Manchester City
21:45 Arsenal 0 - 2 Schalke 04
21:45 Borussia Dotmund 2 - 1 Real Madrid
21:45 Din Zagreb 0 - 2 Paris St G
21:45 FC Porto 3 - 2 Dynamo Kiev
21:45 Malaga 1 - 0 AC Milan
21:45 Montpellier 1 - 2 Olympiakos
NB: Saa za Afrika Mashariki
Man City na Arsenal zimepewa vichapo, aziwezi kuicheka Chelsea. Real Madrid nao!!
Schakle imeichapa Arsenal mabao ya uhakika dk ya 76 na 86. Mechi ya wkend Arsenal ilipoteza mechi dhidi ya Norwich!
Man City baada ya kupata bao dk 22, kilichofuata ni Ajax kutawala mchezo na kupata mabao matatu dk ya 45,57 na 68.
-Kila timu imebakiza mechi 3, na hali ilivyo baada ya mechi 3 (point mabanoni):
Kundi B: 1.Schakle(7), 2.Arsenal (6), 3.Olympiakos(3), 4.Montpellier (1)
Kundi D: 1.Borussia Dotmund(7), 2.Real Madrid(6), 3.Ajax (3), 4.Manchester City(1)
No comments:
Post a Comment