Saturday, 27 October 2012

MECHI ZA 27 OCT 2012 - LIGI KUU YA UINGEREZA

14:45  Aston Villa 1 - 1 Norwich
17:00 Arsenal 1 - 0 Queens Park Rangers
17:00 Reading 3 - 3 Fulham
17:00 Stoke City 0 - 0 Sunderland
17:00 Wigan Athletics 2 - 1 West Ham United
19:00 Manchester City 1 - 0 Swansea

NB: Saa za Afrika Mashariki

Hatimaye Arsenal yajitahidi kupata ushindi, yafikisha point 15 na kusogea nafasi ya 4 kwa muda, hatima kujulikana baada ya mechi za kesho.

Man City nayo imefikisha point 21 na kusogea nafasi ya pili, lakini Man utd ikishinda kesho hali itakuwa tofauti.

--------------------------------------------------------------------------------------------------------
Baada ya kupewa vichapo kwenye Uefa, Arsenal na Man City zitatokaje?

Arsenal ipo nafasi ya 9 na point 12, Man City ipo nafasi ya 3 inazo point 18.

Kesho: 16:30 Everton v Liverpool, 18:00 Newcastle Utd  v West Bromwich, 18:00 Southampton v Tottenham, 19:00 Chelsea v Manchester Utd

No comments:

Post a Comment