Tuesday, 8 May 2012

MECHI ZA 08 MAY 2012 - LIGI KUU YA UINGEREZA

22:00 Liverpool 4-1 Chelsea

NB: Saa za Afrika Mashariki

Chelsea bye bye nafasi ya nne!

Liverpool imefikisha point 52 na kusogea nafasi ya 8, Chelsea imebakia nafasi ya 6 na point zake 61.

Timu zote 20 zimecheza mechi 37, zinasubiri mechi za funga dimba Jumapili 13 May 2012

Msimamo ulivyo (point mabanoni):
1.Man City(86), 2.Man Utd(86), 3.Arsenal(67), 4.Tottenham(66), 5.Newcastle(65),

6.Chelsea(61), 7.Everton(53), 8.Liverpool(52), 9.Fuham(52), 10.West Brom(47),

11.Sunderland(45), 12.Swansea(44), 13.Norwich(44), 14.Stoke City(44), 15.Wigan(40),

16.Aston Villa(38), 17.QPR(37), 18.Bolton(35), 19.Blackburn(31), 20.Wolves(25)


--------------------------------------------------------------------------------------------------
Mechi ya walevi wawili!

Timu hizi mbili ingawa zimefanikiwa kuchukua vikombe, Chelsea (kombe la FA) na Liverpool( Kombe la Carling), zimefanya vibaya kwenye ligi kuu kinyume na hadhi zilinazo..

Liverpool ipo kwenye nafasi ya 9 ikiwa na point 49. Kutokana na ukame wa mvua Bwawa hili litamaliza msimu likiwa kati ya nafasi ya 7 na 10 msimu huu.

Chelsea nayo ipo nafasi ya 6 ikiwa na point 61, bado inayo nafasi ya kumaliza kati ya nafasi ya 6 na 3 kama itashinda mechi hii na ya mwisho.

Kesho: Fainali ya Ligi ya Europa- Atletico Madrid v Athletic Bilbao

No comments:

Post a Comment