22:00 Blackburn 0-1 Wigan
NB: Saa za Afrika Mashariki
Blackburn imeteremka daraja rasmi baada ya kushindwa kufurukuta kwenye uwanja wa nyumbani dhidi ya Wigan ambayo imejihakikishia kucheza ligi kuu msimu ujao.
Blackburn na Wolves zitaungana na timu nyingine moja itakayojulikana kwenye mechi za kufunga msimu Jumapili, 13 May 2012. Timu hizi 3 zinazoshuka daraja zitashiriki kwenye Ligi ya Championship ya Uingereza, ligi ambayo Reading, Southhampton, na timu nyingine moja zinapanda kucheza Ligi kuu ya Uingereza msimu ujao.
Kesho: Liverpool v Chelsea
No comments:
Post a Comment