21:45 Atletico Madrid 3-0 Athletic Bilbao
NB: Saa za Afrika Mashariki
Atletico Madrid ni mabingwa wa Kombe la Uefa Europa 2012!
Kipindi cha kwanza ilikuwa ni one way trafic ambapo Falcao aliweza kuipatia Atletico Madrid mabao mawili.
Katika kipindi cha pili Athletic Bilbao walipandisha kiwango, lakini kinyume chake dakika 5 kabla ya kipenga cha mwisho Diego akapigilia msumari wa mwisho na kaipatia A Madrid bao la 3
----------------------------------------------------------------------------------------------------------
Ni patashika ndani ya National Arena, nchini Bucharest ambapo bingwa lazima apatikane ili kufunga pazia la msimu.
No comments:
Post a Comment