22:05 Atletico Madrid 4-2 Valencia
22:05 Sporting Lisbon 2-1 Athletic Bilbao
NB: Saa za Afrika Mashariki
Ingekuwa ndio mechi ya mwisho, fainali ingekuwa kati ya Spain na Portugal! Lakini sababu marudiano ni lazima, Sporing Lisbon wanahitaji kushinda mechi ya marudiano.
Marudiano ni Alhamisi ijayo , 26 April 2012
----------------------------------------------------------------------------------------------
Ni nusu fainali mzunguko wa kwanza kutafuta timu mbili zitakazo cheza fainali ya kombe la Europa.
Timu za Spain zimetawala michezo ya UEFA msimu huu, ambapo kwenye Ligi ya Europa kuna A Madrid, Valencia na A Bilbao, na kwenye Ligi ya Mabingwa kuna Barcelona na Real Madrid. Lakini cha muhimu ni kama timu hizo zitatoka na vikombe.
No comments:
Post a Comment