21:45 Chelsea 1-0 Barcelona
NB: Saa za Afrika Mashariki
Bao la Drogba lawatesa Barcelona!
Ni vigumu kuamini, pamoja na kumiliki mpira kwa asilimia kubwa (72%) na pasi za uhakika, kilicho pungua kwa Barcelona ni magoli. Lakini kosa kosa zote zingefanikiwa uenda Chelsea wangefungwa bao nyingi.
Mechi marudiano ya mechi ni wiki ijayo Jumanne, 24 April 2012.
--------------------------------------------------------------------------------------
Ni nusu fainali mzunguko wa kwanza kutafuta mshindi atakaye pambana na mshindi kati ya Bayern Munich na Real Madrid.
Chelsea wanayo kazi ya kudhibiti mtambo wa magoli (Mesi) na timu nzima, je watasalimika?
Je unajua mechi ya Fainali ni lini na wapi? 19 May 2012, Allianz Arena nchini Ujerumani.
No comments:
Post a Comment