22:05 Athletic Bilbao 2-2 Schalke
22:05 Metalist Kharkiv 1-1 Sporting
22:05 Hannover 96 1-2 Atletico Madrid
22:05 Valencia 4-0 Alkmaar
NB:Saa za Afrika Mashariki
Kwa matokea hayo timu zilizoingia nusu fainali ni Athletico Bilbao, Sporting , Atletico Madrid na Valencia.
Timu zilizoaga mashindano ni Schalke, Metalist Kharkiv, Hannover 96 na Alkmaar
------------------------------------------------------------------------------------------------
Ni robo fainali mechi za marudiano, ambapo mechi za awali matokeo yalikuwa kama ifuatavyo:
A'Bilbao ilishinda 4-2 dhidi ya Schalke, M'Kharkiv ilichabangwa 2-1 na Sporting , A'Madrid ilishinda 2-1 dhidi ya Hannover 96, nao Alkmaar waliichapa Valencia 2-1.
Timu zipi 4 zitatolewa na timu zipi 4 zitaingia nusu fainali? Usikose kufuatilia matokeo
Kesho ligi kuu ya Uingereza: Swansea v Newcastle
No comments:
Post a Comment