21:45 Barcelona 3-1 AC Millan
21:45 Bayern Munich 2-0 Marseille
NB: Saa za Afrika Mashariki
Barcelona washukuru mtambo wao wa magoli (Messi dk ya 11 na 41) yote kwa penalty. Katika kipindi cha pili dk ya 8 Iniesta apachika bao la 3 na kumaliza matumaini ya AC Millan.
Barcelona wameingia nusu finali itakayochezwa 17 April 2012 na mshindi wa mechi ya kesho kati ya Chelsea v Benfica.
Bayern itacheza nusu finali 17 April 2012, inasubiri mshindi wa mechi ya kesho kati ya Real Madrid v Apoel Nicosia.
-------------------------------------------------------------------------------------------------
Ni mechi za marudiano, ambapo kwenye mechi za awali Barcelona na AC Millan zilitoka 0-0, nayo B'Munich iliitandika Marseille 2-0.
Lazima apatikane mshindi, timu zipi mbili zitakubali kufungasha virago?Je tutashuhudia Barcelona ikitolewa msimu huu?
Mechi za kesho: UEFA ligi ya Mabingwa - Chelsea v Benfica, Real Madrid v Apoel Nicosia
(kwa matokeo haya fuatilia hao juu - mechi za 04 April 2012)
No comments:
Post a Comment